Unknown Unknown Author
Title: HILI NI DONGO JINGINE LA JACK CLIFF KUTOKA KWA HUDDAH MONROE, CHEK OUT
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Aliyekuwa muwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Huddah Monroe aka Thee Boss Lady amerusha dongo kwa mrembo...

clip_image002Aliyekuwa muwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’, Huddah Monroe aka Thee Boss Lady amerusha dongo kwa mrembo wa Tanzania Jackie Cliff ambaye alikamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroin nchini china.
Tweet ya Huddah inadai kuwa Jackie Cliff ni mrembo ambaye alitaka kuishi maisha mazuri ya haraka na kutumia vitu vya kifahari, pia akaambatanisha na picha mbili zinazomuonesha Jackie akiwa amepozi kabla ya kukamatwa na nyingine akiwa na pingu, picha iliyotolewa na gazeti la nchini China.
clip_image003

Katika tweet nyingine Huddah ambaye hupenda kuonesha maisha ya kifahari anayoishi,  amefunguka zaidi na kuonesha kuwa yeye ni muoga na asingeweza kufikia kiwango hicho.
“So this beautiful Tanzanian girl was caught with a KG of Cocaine. That’s now a BAD ASS B**CH! I’m such a coward…I swear I’m not BAD!” Huddah ametweet.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top