Unknown Unknown Author
Title: DJ DAIZO APATA AJALI MBAYA AREA D–DODOMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mfanyakazi wa maisha Club maarufu kama Dj S daizo Mzee wa Pamba, juzi usiku akiwa anatoka kula bata kwenye bar moja maarufu sana Mjini  Dodo...

clip_image002Mfanyakazi wa maisha Club maarufu kama Dj S daizo Mzee wa Pamba, juzi usiku akiwa anatoka kula bata kwenye bar moja maarufu sana Mjini  Dodoma ambayo ipo maeneo ya Area d Maarufu kwa jina la  Kwa Matei(Mti Christmas)  ambapo majira ya 7 akiwa na gari aina ya Toyota IST zenye namba za usajili T489 CJHakiwa anaelekea club Maisha, maeneo ya Round about ya kuelekea mjini ndio kulitokea ajali hiyo mbaya,Ingawa mpaka sasa hatujajua chanzo cha ajali ilikuwaje ila hali yake inaendelea vizuri.clip_image002[5]

clip_image002[7]

CHANZO: AUDIFACEJACKSON BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top