CHEKA AKIMBIA SHULE, MWALIMU ATHIBITISHA

clip_image001Bondia Francis Cheka akitoka shule.

BONDIA Francis Cheka anadaiwa kukacha masomo katika Shule ya St. Joseph mjini Morogoro alipokuwa anasomeshwa kwa madai ya ugumu wa maisha.

Cheka alikuwa anasoma kidato cha kwanza katika shule hiyo ikiwa ni ofa baada ya kumtwanga Mmarekani Phill Williams. Mmoja wa walimu wa shule hiyo, James Mkisi amedai Cheka alihudhuria masomo shuleni hapo mara mbili tu!

Cheka amesema kuwa majukumu ya familia pamoja na maisha kuwa magumu ndiyo chanzo cha yeye kukacha shule.

Picha na Dustan Shekidele / GPL,…

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post