Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk Jakaya Kikwete Amewafuta katika nafasi za uwaziri Mawaziri wanne mara baada ya Ripoti ya kamati ya Bunge ya ya Ardhi na Maliasili kuwasilisha Ripoti yake Kuhusu Oparetion Tokomeza. Akisoma Uwamuzi huo Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda Amesema amewasiliana na Rais Kikwete Ambaye Yupo Nje ya Nchi Kwa Matibabu ameridhia Mawaziri hao kuachia ngazi
SOURCE: AUDIFACEJACKSON
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.