AZAM FC YAZIDI YAZIDI KUZIPIGA BAO TIMU ZA YANGA NA SIMBA, TAZAMA BASI LAO LA KISASA

clip_image001Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi.
Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na
Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.clip_image001[6]

clip_image001[8]Kila siti ina TV

clip_image001[10]Kuna friji

clip_image001[12]Kuna choo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post