Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la 3 lililofungwa na Oscar Joshua dhidi ya JKT Ruvu FC wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda mabao 4-0.
Omar Mtaki wa JKT Ruvu FC akipambana na Simon Msuva wa Yanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, ulochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
(PICHA NA KASSIM MBAROUK)
Tags
SPORTS NEWS