EBSS 2013 ikiwa inaelekea ukingoni, fainali ya EBSS 2013 imechukua sura mpya na mwaka huu washiriki watatakiwa kuimba nyimbo ambazo wametunga. Washiriki sita waliobaki tayari wameshakabidhiwa producers ambao watawasaidia kurekodi nyimbo zao kwenye studio
Lamar, Sheddy Clever(my number one producer) na Shirko ndio producers ambao watafanya kazi na washiriki sita waliobaki wa EBSS 2013.
Tags
HABARI ZA KITAIFA