VANESSA MDEE KUJA NA “COME OVER” IKIWA NI TRACK YAKE YA PILI

Baada ya kutoka na CLOSER msanii wa kike anayefanya vizuri kuanzia kwenye kuimba hadi kurap safari hii anakuja na kitu kipya COME OVER ikiwa ni production ya Producer Nahreel.
Isikilize na Kuipakua kama utaipenda kupitia hapa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post