UKWELI WA JOHARI KUDONDOKEA KWENYE PENZI ZITO NA MCANADA HUU HAPA

clip_image001Muigizaji wa filamu nchini Blandina Chagula aka Johari yupo nchini Canada alikoenda kujitambulisha kwa ndugu wa mchumba wake pamoja na kupanga taratibu za harusi yao.

Akizungumza na Bongo5 leo, Irene Uwoya ambaye ni rafiki wa karibu na Johari amesema kuna mzungu wa nchini Canada aliyetokea kumpenda Johari nakumtaka kwenda kumtambulisha kwao na kuweka mambo sawa.

Akitambulishwa kitachofuata ni ndoa,kwa jinsi tulivyojadiliana watafanya ndoa mbili, moja hapa na nyingine Canada, ili na sisi tulio Dar es salaam tusheherekee ndoa yake kwasababu kama unavyojua ndugu zake ,marafiki na watanzania kwa ujumla wanahitaji kushuhudia ndoa yao,†alisema Irene.

Juzi niliandika kauli ya kumtaka atulie akiwa Canada, sio kwamba Johari hajatulia ila unajua Johari ni mtu wangu wa karibu,kwahiyo nilikuwa namwambia abadilike asipeleke uswahili Canada sio kwa nia mbaya.

CHANZO:BONGO 5

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post