Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila katikati akizungumza na Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MEIS Bwana Merey Balhabou (L) pamoja na meneja wa bandari ya Mtwara bwana Absalom Bohela wakati wa sherehe ya kupokea shehena ya pili ya mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha cementi cha MEIS mkoani Lindi.
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha cement cha MEIS bwana Merey Balhabou kushoto akifafanua jambo kwa mkuu wa mkoa wa Lindi
Ludovick Mwananzila pamoja na walikwa walio hudhuria sherehe kupokea shehena ya pili yamitambo ya ujenzi wa kiwanda cha cement mkoani Lindi.
Mitambo hiyo imewasili katika bandari ya Mtwara ikitokea nchini
china.
Picha na Chriss Mpinanga.
Tags
HABARI ZA KITAIFA