MSANII DAIMOND AHUDHURIA HARUSI YA PETER WA P-SQUARE HUKO NIGERIA

peterPichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter.
Diamond yupo nchini Naija kwa ajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido.
Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
clip_image002Emanuel Adebayo & Diamond
clip_image002[6]
Peter & Emanuel Adebayo.
Picha na Dj Choka

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post