SENSEI RUMADHA FUNDI AENDELEZA MAFUNZO YA KARATE HUKO HOUSTON, TEXAS NA USA

Mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga mtanzania Sensei Rumadha Fundi siku ya jumamosi November 16, 2013 Bi.Anita Mke wa Sensei Rumadha akimpa Pongezi Mumewe katikati kwa kumaliza kaziAlitoa semina maalum ya mafunzo kuimarisha viungo kutumia vifaa asilia toka Okinawa "Chishi na jar" kuimarisha miguu, vidole na misuri yamapaja na miguu. Mafunzo haya yana lengo la kuimarisha nguvu za mateke na utumiaji wa ngumi, na kujenga msingi wa "Kata" bora. Okinawa Goju Ryu Karate- Do "Special training for weight and conditioning" Sugarland, Texas, USA.

1456647_688522561166359_394050309_nSensei Rumadha Fundi (Black belt,3dan) ni mtaalamu wa mda mrefu katika michezo ya Karate ambaye alipata mafunzo

ya mwanzo katika Dojo la Zanaki,jijini Dar-es-salam nchini ya mwalimu wake Marehem Sensei Nantambu Kamara Bomani.

baadaye mafunzo ya Yoga nchini,Mafunzo ya juu na falsafa ya Goju Ryu kule Okinawa,Japan na kutunikiwa dan tatu.

1464616_688522587833023_2012288323_nSensei Rumadha Fundi ni mmoja wa wataalamu wa kiafrika wachache wanaokubalika kimataifa katika fani hii Karate,

Pia ameweza kuendesha mafunzo na semina katika nchi mbali mbali duniani.

1465362_688522577833024_1367881651_nSENSEI RUMADHA FUNDI KUTOKA USWAHILI NI MTALAAMU WA KUJIVUNIA KWA WATANZANIA

Unaweza kujiunga nae at www.facebook.com/fundi.romi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post