MRISHO NGASSA SASA ANATOKA NA SNURA WA MAJANGA,,,,USHAHIDI HUU HAPA

clip_image001Mrisho Ngasa vs Snura wakiwa kwenye picha mahaba, ambapo picha hizo zimedaiwa kuzusha balaa kwa mke wa Ngasa kiasi cha kusababisha mtafaruku mkubwa kwenye familia hiyo.

clip_image001[8]Hapa Mrisho Ngasa akitaka kumla mate Snura

clip_image001[10]Mrisho Ngasa akizichezea Lips za Snura chumbani wakiwa wawili.

Na Sakina Shabani

Mwanamuziki staa wa wimbo wa majanga Snura Mushi ameingia kwenye kashfa ya kutetelesha ndoa ya mchezaji nyota wa timu ya Yanga Mrisho Ngasa baada ya picha zao wakiwa wawili chumbani kuvuja.

Habari za uhakika zilizotua mezani kwa XDEEJAYZ zilisema kuwa Mke wa mrisho ngasa alipandisha Presure baada ya kuona picha mumewe akiwa na mwanamuziki mwenye sifa ya kukata mauno pengine kuliko mwanamuziki yeyote Tanzania kwa sasa ukiacha zamani Ray C.

Hata hivyo picha hizo zilionesha zimepigwa wikiend iliyopita, hata hivyo watu wamemtahadharisha Ngasa kuhusu Snura akifanya mchezo nae anaweza kuisahau familia yake.

CHANZO: XDEEJAYZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post