MATENDO ANDREW AFUNGUKA JUU YA PETER BANZI

clip_image002Mateendo Andrew akiwa katika pozi
Ni mara chache sana imekuwa ikitokea mwimbaji kutamka kwa kinywa chake na kusema kuwa anamkubali mwimbaji mwenzie! lakini kwa mara ya kwanza mwimbaji Matendo Andrew. amesema hafichi ukweli uliopo moyoni mwake juu ya kumkubali mwimbaji Peter Banzi anayefanya mziki wa injili kwa style ya hip hop
clip_image002[6]Matendo Andrew kulia akiwa na Peter Banzi katika pozi
aliyasema hayo nilipo fanya nae mahojiano siku ya jumapili tulipokua katika hafla maalum iliyo andaliwa na mtangazaji wa praise power radio huko Tegeta.
clip_image002[8]Peter Banzi wa kwanza kushoto katikati ni Gazuko na mwisho ni Matendo Andrew

Pia aliongelea juu ya ujio wa album yake mpya inayoenda kwa jina la Ndani ya Yesu, yenye nyimbo nane ikiwa imekamilika kwa mfumo wa audio na video.

SOURCE: GAZUKO BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post