Mwigizaji maarufu senga akifuatilia mpira ndani ya chamaziii
mashabiki wa Mbeya City uwanjani
Mashabiki wa Mbeya City wakishangilia kwa nguvu
Mashabiki wa Mbeya City wakishangilia Mara baada ya Kusawazisha Goli Hadi sasa Matokeo ya Mechi hiyo ni Azam 1 – 2 Mbeya City
**********************UWANJA WA TAIFA******************
Yanga inaongoza hadi sasa kipindi cha mapumziko kwa Goli 2 – 0 dhidi ya oljoro, magoli hayo yakiwekwa kimiani na Mshambuliaji Simon Msuva na Mrisho ngasa,
Simon Msuva ndie aliyefungua ukurasa wa Magoli katika timu yake mnamo dakika ya 21 ya mchezo mara baada ya kupokea pasi nzuri ya Haruna Niyonzima, Dakika ya 29 mrisho Ngasa aliweza kuiandikia bao la 2 timu yake ya Dar Young Africa kwa kufunga goli hilo baada ya kupiga One two na kuachia shuti kali lililomshinda mlinda mlango wa Oljoro.
HALF TIME:: YANGA 2 – 0 OLJORO, AZAM 1 – 2 MBEYA CITY
HADI SASA MSIMAMO WA LIGI UKO HIVI
# Team M P W D L F A D P
1.Young Africans 12 7 4 1 3 0 11 +19 28
2. Azam 12 7 5 0 2 1 8 +13 27
3. Mbeya City 12 7 5 0 1 7 8 +9 27
4. Simba 13 6 6 1 2 6 13 +13 24
SECOND HALFCHAMANZI:::Mwigane yeya anafanikiwa kuiandikia tena Mbeya city goli la pili.
Azam 1 - Mbeya city 2
TAIFA:: PASI IMIANZIA mbuyu twite>>>>mrisho ngassa anapiga krosi. . tegete anapiga goli la 3
Yanga 3 Oljoro 0
CHAMANZI:::: john boko anasawazisha,
Azam 2 Mbeya city 2
TAIFA: Ball possesion Yanga 85% Oljoro 15%
Oljoro wanakaba kwa macho tu. . Yanga wametawala mchezo huu.
Reliants Lusajo anapiga jeramba hapa kupasha misuli
Yanga 3- Oljoro 0
Azam 2- Mbeya city 2
HADI SASA YANGA ANAONGOZA LIGI.
MSIMAMO HADI SASA. . TATU BORA
Team MP W D L Goals GD Pts
↑ Yanga SC 13 8 4 1 31 20 28
↑ Azam FC 13 7 6 0 22 13 27
↓ Mbeya City 13 7 6 0 17 8 27
TAIFA::: YANGA Dakika ya 70, anaingia Reliants Lusajo kuchukua nafasi ya Frank Domayo
CHAMANZI:::Mwigane yeya anapiga hat- trick hapa Chamazi. . Mbeya city 3 Azam 2
KIBARUA BADO KIZITO HAPA CHAMANZI:::Hamis mcha viali anasawazisha, Azam 3 - Mbeya city 3
TAIFA:::Dakika ya 80 anaingia Said Bahanuzi kuchukua nafasi ya Haruna Niyonzima
MATOKEO NI YANGA 3 – 0 OLJORO
MJINI TABORA MATOKEO NI : Rhino 0-0 Prisons
CHAMANZI::: MPIRA UMEMALIZIKA NA MATOKEO NI
AZAM 3 – MBEYA CITY 3
TAIFA::Zinaongezwa dakika 2. .
Yanga 3 - Oljoro 0
Mpira umemalizika, Young Africans 3 - 0 JKT Oljoro
MAGOLI
Msuva dkk 23
Ngassa dkk 30
Tegete dkk 54
Kwa matokeo haya ya leo sare ya 3-3 kati ya Azam na Mbeya City
Young Africans inakamata kiti cha uongozi kwa kufikisha pointi 28
YANGA WANAONGOZA LIGI KUU. . HADI MWAKANI.
Team MP W D L Goals GD Pts
↑ Yanga SC 13 8 4 1 31 20 28
↑ Azam FC 13 7 6 0 22 13 27
↓ Mbeya City 13 7 6 0 17 8 27
MSIMAMO WA LIGI ULIVYO HIVI SASA
| TEAM | MP | W | D | L | GOALS | GD | POINT |
| YANGA SC | 13 | 8 | 4 | 1 | 31 | 20 | 28 |
| AZAM FC | 13 | 7 | 6 | 0 | 22 | 13 | 27 |
| MBEYA CITY | 13 | 7 | 6 | 0 | 17 | 8 | 27 |
| SIMBA SC | 13 | 6 | 6 | 1 | 26 | 13 | 24 |
| KAGERA SUGAR | 13 | 5 | 5 | 3 | 15 | 5 | 20 |
| MTIBWA SUGAR | 13 | 5 | 5 | 3 | 18 | 2 | 20 |
| COASTAL U | 13 | 3 | 7 | 3 | 10 | -3 | 16 |
| R.SHOOTING | 13 | 3 | 6 | 4 | 14 | -1 | 15 |
| JKT RUVU | 13 | 5 | 0 | 8 | 10 | -6 | 15 |
| RHINO | 13 | 2 | 6 | 5 | 9 | -6 | 12 |
| JKT OLJORO | 13 | 2 | 4 | 7 | 9 | -10 | 10 |
| ASHANTI UTD | 13 | 2 | 4 | 7 | 11 | -12 | 10 |
| PRISON | 13 | 1 | 6 | 6 | 6 | -9 | 9 |
| MGAMBO | 13 | 1 | 3 | 9 | 3 | -20 | 6 |
Gonga like kuzipongeza timu zote zilizoshiriki pia comment jina la timu yako tuone ni ya ngapi katika msimamo.