HIZI NI BAADHI YA SIFA ZA JOKATE, ZISOME HAPA

clip_image001 
Unaweza kumwita Kidoti lakini jina lake halisi ni Jokate Mwengelo aliwahi kushiriki Taji la Miss Tanzania na kushika nafasi ya Pili nyuma ya Wema sepetu Mwaka wa 2006.
Kwa sasa Dada huyu ni Mwanamuziki na pia ni mwanamitindo ambaye ana kampuni yake nyenye jina la KiDOTI kiukweli unaweza kumpa sifa kemkem mdada huyu lakini hizi ni baadhi tu ya sifa alizozitaja yeye:
1. Kujiamini
Hii ndio sababu kubwa ya kwanza aliyoitaja jokate. Ansema hamna kitu kinachowavutia watu, hasa wananume kama kujiamini. Mwanaume anapenda msichana anayejiamini. Zaidi ya yote hamna kitu kinachosema kuwa “I’m sexy” Zaidi ya mwanamke anayejiamini


2. Kujitegemea
Hii ni kama sababu ya kwanza hapo juu, Jokate anasema hamna kitu kinachowaboa wanaume kama mwanamke ambaye anapenda vitu vya kupewa. Ukimuonesha mwanaume wewe unapenda kutafuta vya kwako basi jua atakupenda sana


3. Kupendeza
Jokate anasema ni muhimu kwa wadada kuvaa nguo nzuri ambazo zitakupendeza kulingana na mwili wako hasa hasa nguo zenye rangi ya kuonekana.


4. Tabasamu
Tabasamu kila saa kwani tabasamu linakufanya unaonekana mzuri Zaidi






Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post