Nani Mtani Jembe
Matokeo ya shindano la Nani Mtani Jembe mpka kufikia leo mchana saa 6 ni :
Yanga SC Tshs 60,930,000.
Simba SC Tshs 39,070,000.Tunaomba wapenzi na wanachama wa klabu ya Yanga muendelee kupiga kura wingi ili tuweze kuibuka washindi katika kinyang'anyiro hichi.
Kumbuka kiasi cha pesa kitakachopatikana katika shindano hili ndo kiasi hicho hicho cha pesa taslimu kitakachokabidhiwa kwa timu ya Yanga SC.
Yanga "Daima Mbele Nyuma Mwiko”
SOURCE: YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB
Tags
SPORTS NEWS