BABY MADAHA AZIDI KUPAA, APATA SHAVU MJINI LONDON…

clip_image002
Baby Madaha is flying high, siku ya tarehe 30th November 2013 atakuwa akipiga bonge la show ndani ya CLUB DIAMOND~BARKING ESSEX,LONDON kwa kiingilio cha pound 19 tu.
Manager wa mwanadada huyo MR Joe Kariuki pia amesema kuwa, itakuwa ni bonge la suprice kwa mashabiki wake wa pande hizo na atapata nafasi ya kuyazindua tena manukato yake na mifuko ya kubebea zawadi pia

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post