Wananchi wenye hasira wakifunga njia kwa kutumia vyuma vya kingo Za daraja kuzuia msafara wa Dkt. Emmael Nchimbi kupita wakati akienda kwenye mkutano wa hadhara ambao baadae ulifanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari ya kutwa ya matarawe iliyopo katika manispaa ya Songea
Diwani wa kata ya Matarawe (CCM) Makene aliyesimama katikati akijaribu kuwatuliza wananchi wa kata hiyo ambao walifunga barabara itokayo mjini kwenda matarawe kwa zaidi ya masaa mawili wakimshinikiza mbunge wao Dkt. Nchimbi awasaidie kulipanua daraja ambalo wamedai kuwa limekuwa likisababisa ajari nyingi pamoja na vifo aliyesimama nyuma yake ni Dkt Nchimbi
(picha na Gideon Mwakanosya)
Tags
HABARI ZA KITAIFA