WATCH BRAND NEW VIDEO: KIMUGINA BY LINEX

clip_image002

Kimugina ndio jina la ngoma hii kali kutoka kwa msanii Linex Mjeda ambae weekend hii iliyoisha siku ya jumamosi ndio alizindua video hii.

Na we chukua dakika zako chache za kuweza kuitazama video hii ya Kimugina hapa chini...

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post