HII NDIO GARI JIPYA ANALOMILIKI MSANII OMMY DIMPOZ

clip_image002

Mark X usafiri mpya kabisa wa msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpozi ukiwa hauna hata namba za usajili leo umekatiza maeneo ya Jaffarai Car Wash maeneo ya Mikocheni na kupigwa sopu sopu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post