STAA wa tasnia ya filamu hapa Bongo, Irene Uwoya ameuanika mkoko wake mpya Range Rover.
Kupitia mtandao wa instagram Uwoya alipost picha za gari hilo huku akiandika… I don't care… Watasubiri sanaaaa…. My bby.
Huku watu wakicoment kwa kumpongeza kuwa huwa anaongea kwa vitendo na siyo…
Tags
HABARI ZA WASANII