Watu walifurika Katika Viwanja vya Leaders Club Hapo jana Kushuhudia Tamasha Kubwa la Fiesta 2013 mjini Dar es Salaam.
Jukwaa lilianza kushambuliwa kwa burudani na wasani mbalimbali
Wadau waliojitokeza kushuhudia show mbalimbali katika Tamasha hilo la Fiesta.
Linah akikatika sambamba na Amin ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
Rachel akilishambulia jukwaa la Fiesta 2013.
Peter Msechu akifanya vitu vyake stejini.
Snura 'Mamaa Majanga' akionyesha mbwembwe zake jukwaani.
Mwanadada Ray C akiwapa raha mashabiki wa Fiesta 2013 waliokuwa 'wamemmis' kwa muda mrefu.
Msanii Linah akifanya yake jukwaani.
Umati wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013.
Mwanadada akitoa burudani kwa maelfu ya mashabiki waliohudhuria Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Leaders Club.
Msanii Menina akinyanyuliwa juu na wacheza shoo wake.
Wasanii mbalimbali wakiupamba usiku wa Serengeti Fiesta ndani ya Viwanja vya LeadERS

Amini akiimba pamoja na Barnaba katika jukwaa la Fiesta dar es salaam
Cristian Bella aliwakilisha vilivyo atika jukwaa la Fiesta Dar es Salaam
Recho akitoa burudani na Madancer wake
Recho akiimba pamoja na Mwanadada Ray C akiwa jukwaani kwa mara ya kwanza tangu apotee katika tasnia ya muziki
Tags
HABARI ZA KITAIFA