RASMI, MALINZI RAIS MPYA TFF NA WALACE KARIA MAKAMU WAKE

clip_image001Jamal Malinzi kushoto akiwa na swahiba wake, Rutayuga. Ameshinda Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kura 72 kati ya 126 zilizopigwa. Wallace Karia ameshinda nafasi ya Makamu wa Rais dhidi ya Nassib Ramadhabi na Imani Madega.

Picha za chini na mashabiki wa Malinzi wakishangilia ushindi wa kipenzi chao huyo.

Picha kwa msaada wa Binzubery blog

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post