Msanii wakimataifa wa muziki toka nchini Uganda maarufu kwa jina la Jose Chameleone ameonekana katika hisia kali sana akiwa anaimba katika show moja akiwa nchini humo Uganda baada ya kucheza na mwana dada moja mrembo ,ambaye amekua akionekana nae sehemu mbalimbali ,nakudaiwa ni mpenzi wake wamuda murefu sasa, pia mrembo huyo ameonekana akiwa na furaha sana kwa kucheza na mpenziwe jukwaani kwasababu amedai ni mara ya kwanza kufanya nae hivyo.
SOURCE: EJFASIONREALMEDEIA
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.