PENNY ADAIWA KULIPIZA KISASI KWA MKAKA HUYU HAPA, CHEKI PICHA

clip_image001Raheeem akiwa kwenye pozi na Mwanadada Penny

EXCLUSIVEE:: Penny wa Diamond aamua Kumpiku na Kumkomoa Wema Sepetu kwa Kutoka na Mshkaji Aliyekuwa Mpenzi wa Wema

Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu
Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You Do Me, I Do You Raheem Akiwa na Wema Sepetu Enzi Hizo Baada Tuu ya Kuachwa na Diamond

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post