MFAHAMU JAMAA ANAECHORA KWA KUTUMIA KIUNGO CHAKE CHA UZAZI.. TAZAMA PICHA PIA ALIZOCHORA

clip_image003_thumb2Tim Patch ni msanii kutoka Australia ambaye jina lake la kazi (nickname) ni Prickasso.. M-Australia huyo alipata umaarufu mkubwa duniani baada ya kutumia kiungo chake cha uzazi (uume) kuchorea badala ya brush za kawaida za kuchorea...clip_image002_thumb2Msanii huyo alipata umaarufu mwaka 2006 katika maonyesho ya 10th Annual Sexexpo ambapo Tim alionyesha picha na kujiita mwanzilishi wa aina mpya ya uchoraji...clip_image0036_thumb2Toka Tim Patch awe master wa aina hiyo ya uchoraji ni dhahiri kwamba ameamua kutumia kiungo hicho cha uzazi katika utengenezaji wa picha mpya. badala ya kazi yake maalum..clip_image0038_thumb2Tim aliweka wazi kua anapenda kuchora sana picha za wanawake, wanasiasa ,na watu maarufu...Nahizo ni baadhi ya picha zake alizochora.. clip_image00310_thumb2
clip_image00312_thumb2clip_image00314_thumb3

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post