HII NDO BARUA NZITO ALOANDIKIWA SHILOLE....TAZAMA HAPA.

clip_image002MSANII wa sinema za Kibongo,Zuwena Mohemed‘Shilole ameandikiwa barua yenye ujumbe mzito na mtoto wake aitwaye Joyce akimuasa mama yake kuwa care na kila kitu anachokifanya. 
Shilole ameipost barua hilo kupitia matandao wa instagaram huku akiandika …Asante mwanangu sijui umefikiria nn? clip_image002[11]Dah mungu nikuzie wanangu coz ndo faraja yangu. Hiii barua nimeikuta kaniwekea harafu yy kaishaondoka shule miss u my baby girl soma kwa uwezo wako wote mi natafuta kwa ajir yenu….…

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post