LIJUE JINA LA MTOTO WA NAKAAYA ALIYEZALIWA JUMAMOSI ILIYOPITA

clip_image002Jumamosi iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY mungu alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la KAI SAMUEL.
Leo kupitia account yake ya Instagram amepost picha hii ya mtoto na kumuandikia maneno mzuriiiiiiiii

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post