IRENE UWOYA, WEMA SEPETU NA KAJALA KUSIMAMIA UZINDUZI WA VIDEO YA “KIMUGINA” KESHO AMBASSADORS LOUNGE

clip_image003Linex mkali kutoka Kigoma, kesho anatarajia kuzindua video yake mpya “Kimugina” pale Ambassadors lounge.

Hizi hapa ni picha kutoka kwenye baadhi ya scenes za video ya wimbo huo. Linex akiongea na millardayo.com amesema, “Kesho kwenye uzinduzi wa video ya Kimugina kutakuwa na red carpet pamoja na show nzima itasimamiwa na Irene Uwoya na  Kajala.

Wema Sepetu na mastaa wengine wa bongomovie watafika siku hiyo plus watakaonisindikiza ni Barnaba boy, Chidy Benz na wengine wengi. So mashabiki zangu wasikose kufika kesho”.clip_image003[16]

clip_image003[8]
clip_image003[10]
clip_image003[12]
clip_image003[14]

clip_image003[18]
clip_image003[20]
clip_image003[22]
clip_image003[24]

PICHA KWA HISANI YA MILARDAYO.COM

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post