Msanii anayefanya vizuri kwenye anga la muziki Bongo, Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka kuwa shoo wanazofanya wasanii hapa nyumbani zinalipa zaidi kuliko zile za nje.
“Naweza kusema hapa nyumbani tunalipwa pesa nyingi kuliko ile tunayopata tunapofanya shoo nje, inategemea pia unaenda kufanya shoo wapi lakini ukweli unabaki kuwa hapa Bongo tunalipwa vizuri,” alisema msanii huyo
Ambaye juzikati alidondoka kutoka Marekani kisha kushusha bonge la shoo ndani ya Ukumbi wa Kimataifa wa Burudani wa Dar Live pale Mbagala Zakhem siku ya Idd.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.