IRENE UWOYA ASHAMBULIWA MTANDAONI BAADA YA KUMNYWESHA MTOTO WAKE POMBE, TAZAMA PICHA HAPA

clip_image001Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo ashambuliwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake huyo.Irene amepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata na marafiki zao wa huko.Watu hao walimwambia Uwoya kuwa siyo malezi mazuri hata kama ameshika au kunywa kabisa anatakiwa kuwa mama wa mfano kwa tabia njema kwa mtoto.…cio malezi ata kama ameshika au kunywa kabisa. be a good mother….Huku mwingine akicomment ….Ayaaa atapombeka huyo…dayanachuwa crish hapana shika hiyo mbaya sana.ntakusemea kwa anko babu 1d
chiispice Acha kushika hiyoo dudu @totoo zuyi crish...
• bawilid hell no

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post