HUU NI UJUMBE SPECIAL KUTOKA KWA PENNY KWENDA KWA MPENZI WAKE DIAMOND KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA LEO

clip_image001[5]

clip_image001

Juu    ni ujumbe aliouandika mpenzi wa staa wa Bongofleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mungilwa ‘Penny’ kwa Diamond katika siku yake ya kuzaliwa. Penny ameandika ujumbe huo pamoja na picha hapo juu katika akaunti yake ya Instagram mapema hivi leo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post