Mtihani wa majaribio ambao mtoto aliyefaulu kidato cha kwanza alijaribiwa kujua uwezo wake baada ya kufaulu, lakini cha ajabu wapo ambao walishindwa hata kuandika majina yao, Wilaya zao na hata mkoa wao. Angalia mitihani hii iliyofanywa Wilaya ya Rombo.Mtihani wa majaribio ambao mtoto aliyefaulu kidato cha kwanza 2012 alijaribiwa wilaya ya Rombo.Mtihani wa majaribio ambao mtoto aliyefaulu kidato cha kwanza alijaribiwa.Wapo walioshindwa hata kuandika imla na hata kujazia maneno kwenye sentesi zilizo wazi. Hii ni changamoto kwelikweli..!Mtihani wenyewe ulisomoka hivi…!Wapo walioshindwa hata kuandika jina la shule aliyokuwa akisoma, Wilaya, Mkoa na hata majina yao kiusahihi. Hata hivyo habari za kina ambazo mtandao huu ulizipata na kuzifanyia uchunguzi wanafunzi hawa bado wanaendelea na masomo ya Sekondari mikoa tofauti. Tafakari..Chukua Hatua..
CHANZO: THEHABARI.COM
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.