GARETH BALE MIKOSI MITUPU REAL MADRID, SASA ATAKIWA 'KISU CHA NGIRI'

clip_image001Benchi: Bale anaweza kuhitaji upasuaji wa ngiri

BALAA la majeruhi limezidi kumuandama mchezaji ghali duniani, Gareth Bale katika maisha yake mapya katika klabu ya Real Madrid, baada ya kugundulika anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa ngiri.

Lakini majeruhi hayo hayatarajiwi kuathiri matarajio yake ya kurejea kwake uwanjani kuwahi mechi kati ya Real Madrid dhidi ya Juventus Oktoba 23 na dhidi ya Barcelona siku tatu baadayeGet going: The injury is not expected to affected his scheduled return to action on October 23Lakini majeruhi hayo hayatarajiwi kumchelewesha kurejea uwanjani kulingana na matarajio yake Oktoba 23

Tatizo hilo ni mbali na  matatizo ya misuli yaliyomfanya Bale acheze dakika 132 tu na kuanza katika mechi moja tu msimu huu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post