DOWNLOAD NEW AUDIO:: MADEE–TEMA MATE TUWACHAPE

madeeBaada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Pombe Yangu, sasa msanii kutoka manzese maarufu kama Madee ameamua kuachia rasmi ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Tema Mate.
Ngoma hii imefanywa ndani ya Studio Ya Mj Records chini ya Producer Marco Chali.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa chini...

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post