ANGALIA PICHA ZA BONDIA FRANCIS CHEKA AKIWA DARASANI BAADA YA KUAMUA KUANZA KUSOMA...

clip_image002Bondia Francis Cheka akiwa darasani hapa akimsikiliza mwalimu aliyekuwa anafundisha soms la computer.Cheka ametimiza ahadi yake ya kurudi shuleni kuongeza ujuzi zaidi mara daada ya chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro Kumpa nafasi ya bondia huyo kusoma bure chuoni hapo ikiwa ni ahadi waliyoitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Wakati wa sherehe ya kumpongeza bondia huyo.Bondia Francis Cheka Akiwa na wanafunzi wa chuo hicho katika picha ya pamoja.Bondia Francis Cheka  pamoja na baadhi ya wanafunzi wa chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro wakijisomea mara baada ya kumaliza kipindi

Picha Na shekidele

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post