DAAAH! KWELI DUNIA HADAA!!! YANAYOSEMWA HUKO NYUMA YA PAZIA KUHUSU DIAMOND, WEMA NA PENNY UNAWEZA USIPENDE TENA!

clip_image001Haya ni baadhi ya maneno mapya yaliyoanza kuibuka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na isiyo ya kijamii nchini kufuatia kuzagaa kwa picha za "kimahaba" kati ya mwanamuziki Diamond Platnumz na mwanadada wa bongo movies Wema Sepetu kuwa wawili hawa wamerudia tena penzi lao la zamani.

  1. ETI: Martin kadinda ambaye ni manager wa wema anaujua mchezo wote. Alikuwa anamchora tuu peny na “kitanda cha maua” (Sio jukumu lake kumwambia penny hata hivyo)

  2. ETI: Chain ya Wema na diamond zinafanana. Kwakuwa walinunua pamoja na zaidi ya hilo Wema alimpa Diamond simu kama yake (Inafanana na simu y wema)  kama birthday gift ila Diamond akazuga kapewa na jamaa tuu hukooooo

  3. ETI: Hayo yote yakiendelea kutokea, inasemekana Penny ana “kitumbo” aka ujauzito wa Diamond Platnumz

  4. ETI: Wanaosubiri hiyo movie ya Diamond na wema iliyopewa jina la “Temptations”  watasubiri mpaka miguu iingie tumboni maana haitakaa itoke milele.

  5. ETI: Ukiichunguza vizuri sehemu ya "zipu" ya Diamond Platnumz (pichani) utagundua jamaa huyu alikuwa kwenye "hisia kali sana"  mda huo,heheheh

clip_image002Jamani haya sio maneno yetu bali ni maneno yanayosemwa hukooo kwenye mitandao. Kazi ni kwako! Sisi kazi yetu ni moja tuu, kukuhabarisha!

CREDIT: UDAKUBIZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post