Leo mitaa ya Manzese ilikuwa ni siku ya uchukuaji wa picha za video ya audio mpya ya Shaa “Sugua Gaga” … The video inatarajiwa kutoka wiki kadhaa zijazo huku teaser ya Audio hiyo pamoja na pics ikielezea utamu na how video hiyo itakuwa …
Pengine hii ni track na video ya kwanza Shaa akifanya ikiwa kwenye mahadhi ya ladha ya uswahilini kabisa, chini ya usimamizi wa Mkubwa na Wanawe (Saidi Fella)
Check out photos za video ya “Sugua Gaga” iliyokuwa inafanyika leo
Tags
HABARI ZA WASANII