Hawa ndio wadada wakereketwa wa jangwani tayari wameshafanya yao katika kujiweka sawa na Mpambano wa watani wao wa jadi Simba hapo uwanja wa Taifa jijini dar es salaam jumamosi hii
Vipi wekundu wa msimbazi mpooooo Je tano Zitarudiiiiiii???????????
Tags
SPORTS NEWS






