BABA MZAZI WA TWENTY PERCENT AZIKWA KIMANZICHANA JANA, TAZAMA PICHA

clip_image001Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya MkurangaMsanii 20 Percent na ndugu zake wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake mzazi mzee KinzasaAbas Kinzasa kwa jina usanii anaitwa 20 percent akieleza jambo kandokando ya kaburi la  Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya MkurangaMarehemu mzee Kinzasa akiombewa dua baada ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya mileleHii ndio nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha KimanzichanaBaadhi ya wananchi waliofika msibaniWazee wakiesabu kiasi cha pesa kilichopatikana kwa watu waliotoa rambirambi zao kwenye msiba wa marehemu Mzee KinzasaMzee akieleza jambo kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent aliyefariki siku ya Jumapili na kuzikwa nyumbani kwake kwenye kijiji cha KimanzichanaMwenyekiti wa mtaa wa Kimanzichana akimkabidhi mtunza pesa, pesa alizopewa na wananchi kwa ajili ya rambirambiBaadhi ya wananchi waliofika kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichoko wilaya ya Mkulanga mkoani Pwani hapo jana mchanaMtunza pesa akieleza kiasi cha pesa zilizopatikana baada ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika msibani hapo  kutoa rambirambi zao

PICHA NA PAMOJA/PAMOJAPURE BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post