ANGALIA PICHA ZATUKIO ZIMA LA WAFANYA BIASHARA KUGOMA KUNUNUA MASHINE ZA TRA MBEYA, MADUKA YAFUNGWA.

clip_image001Askari wakiwa katika juudi za kuhakikisha mambo yanakaa sawa na hali iwe shwariclip_image001[4]Polisi wakiwa katika ulinzi mkaliMaduka yakiwa yamefungwa

Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini  hatma yaoBaadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vuruguMawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokoteMaduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRAVijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitiaJiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipiteHali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....


PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post