Jeri Muro akimweleza askari kuwa alichokifanya si sahihi
Watu walikuwa karibu wakisikiliza nini kinaendelea kati ya askari na Jeri Muro
Jeri Muro anamwambia Askari "Siwezi kukusamehe kwa hili"
Mambo yalizidi kuwa magumu kila dakika ilivyozidi kuyoyoma watu na askari waliidi kuongezeka hadi mdodosaji wa habari hii alipoondoka eneo la tukio aliacha mzozo huo ukiendelea….