Muonekano mzima wa Basi Machinga lililopata ajali mbaya...
BASI hilo la Machinga limepata ajali mbaya mapema leo asubuhi iliosababisha dereva wa Basi anaefahamika kwa jina ( NOOR ) kupoteza maisha papohapo,
Ajali hiyo imetokea maeneo ya Kilima hewa Mbele ya Kimanzichana,Wakati Basi hilio lilipokuwa Safarini kutoka Dar Es Salaam Kuelekea Mtwara ndipo lilipogongana uso kwa uso na lori la mizigoMwili wa dereva wa basi la machinga ukitolewa kwenye basi baada ya kufa papo hapo. idadi ya majeruhi mtazipata hapa mda si mrefu
Tags
HABARI ZA KITAIFA