Ni kweli inawezakana katenda kosa lakini Je adhabu anayopewa inalingana na Kosa alilofanya? Je nini mafundisho ya Dini zetu au ndio hatuna tena mioyo iliyosafi na kuishi kama wanyama? maana Binadamu mwenzako unamchukia hadi kufikia kumfanyia UKATILI KAMA HUU.
TUBADILIKE WANANCHI WENZANGU, NI MUNGU PEKEE ANAE HUKUMU
Tags
HABARI ZA KITAIFA