Kufuatia kutoka kwa hit ambayo inapewa sapoti na video ya mapesa mengi, My Number One ya Diamond Platnumz, Mambo yameanza kuwa mambo baada ya msanii Dyna Nyange kuibuka na kudai kuwa mdundo wa ngoma hii ulikuwa ni wa kwake na ulikuwa ni kwaajili ya wimbo ambao ulikuwa aufanye akiwa amemshirikisha msanii huyo.
Bado tunacheki mishe za kumpata Diamond kwa ajili ya kulizungumzia swala hili kwa ajili ya kupata uhalisia wake katika mdundo hu ambao unapewa credit kuwa umetengenezwa na Sheddy Clever.
Baada ya kupata story kuhusiana na mchongo huu, tukaamua kumvutia waya producer Sheddy Clever ambaye amesema kuwa kwa sasa hivi hayupo tayari kulizungumzia swala hili.Dyna leo hii amenitumia ngoma hii anayolalamika kuwa amefanyika 'chimpupute' na Diamond Platinums.. so Isikilize mwenye hapa

Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.