COLLABO NYINGINE KUBWA KUTOKA KWA LADY JAYDEE

clip_image002Ile Collabo kubwa aliyowahi kuizungumzia Lady Jay Dee kuwa ataifanya na Role Model Wake Khadija Kopa, Ndio imeanza kufanyiwa kazi sasa. Hii picha Ya Kwanza Wakiwa Pamoja Nyumbani Kwa Kopa Bagamoyo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post