Kutoka nchini uganda walimu wa shule za serekali wameamua kuanzisha mgomo wa kutokwenda kazini kufundisha mpaka pale Serikali ya Nchi hiyo iwaongeze walimu hao Asilimia 20 katika mishahara yao, ambayo ilikua ni ahadi kutoka serikali ya Uganda, lakini mpaka sasa serikali hiyo haijatimiza ahadi hiyo na kusababisha baadhi ya shule kutogawa huduma ya masomo kwa wanafunzi kutokana na hali ya mshahara mdogo wanaopata walimu wa shule hizo za serikali.
Tags
HABARI KIMATAIFA