AY ON STAGE
FA ON STAGE
FA akiwa Tribeka
The Gladiators, Mwana FA na AY wapo nchini Kenya walikoenda kurekodi nyimbo na mambo mengine. Jana walikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye show iliyopewa jina, Wakilisha East Africa iliyofanyika kwenye kiota cha Tribeka Restaurant & Pub jijini Nairobi.
Tags
HABARI ZA WASANII