SUGU ANATAFUTWA NA POLISI DODOMA…AFUNGULIWA FAIL NA ASKARI POLISI

clip_image001Taarifa za uhakika ni kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu, baada ya kufungua JALADA hilo polisi wamechukua Diffender 6 na wameingia mitaani kumtafuta ili aweke ndani mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi.
Lengo la kutaka kumkamata leo ni ili alale ndani hadi kesho asubuhi.
Bunge limebariki bila kujali kinga na madaraka ya Bunge, pia bila kujali ibara ya 100 ya katiba kuhusu haki za Bunge.

Polisi wana hasira sana na Sugu tangu alipowashinda kuhusu Ujinga wa Pinda ......
SOURCE: Jamii Forum

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post